Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 11 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Ombea maswala ya kifedha Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 11 Soma Yohana ya 11 Wiki ya 2: Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii