Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 24 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Ombea viongozi katika nchi yako Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 24 Soma Wagalatia 5-6 Wiki ya 4: Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii