Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 29 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Ombea ujasiri katikati ya dhihaka Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 29 Soma Wafilipi 3-4 Wiki ya 5 ya Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii