Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 25 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Ombea adui zako wamjue Mungu Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 25 Soma Waefeso wa wa 1-2 Wiki ya 4: Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii