Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 23 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Omba dhidi ya majaribu maishani Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 23 Soma Wagalatia 3-4 Wiki ya 4: Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii