Changamoto ya Siku 30 - Siku ya 26 Maombi na Shukrani Msifu Mungu kwa wema Wake Mshukuru Mungu kwa kila jambo Ungama makosa yako Omba msamaha na umshukuru Muombe Mungu akufanye kuwa jasiri kama Mtume Paulo Omba Mungu akutie nguvu Soma Biblia Soma Zaburi ya 26 Soma Waefeso wa 3-4 Wiki ya 4: Kanisa Kutana na wengine kumwabudu Mungu mara moja wiki hii